DEREVA DARAJA II (DRIVER II)

DEREVA DARAJA II (DRIVER II)

Halmashauri ya Manispaa ya Songea

3 Positions

Application Period

06/01/2026 – 19/01/2026

Duties and Responsibilities

  1. Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
  2. Kuwapeleka Watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
  3. Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
  4. Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
  5. Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali; na
  6. Kufanya usafi wa Gari;

Qualifications

Kuajiriwa wenye cheti cha kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika. Wawe wamehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

Remuneration

TGS B


Discover more from Ajira Tanzania| Nafasi za Kazi Tanzania| FG

Subscribe to get the latest posts sent to your email.