MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (OFFICE MANAGEMENT SECRETARY GRADE II)

MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (OFFICE MANAGEMENT SECRETARY GRADE II)

Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi

1 Position

Application Period

06/01/2026 – 19/01/2026

Duties and Responsibilities

  1. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;
  2. Kupokea wageni na kuwasikiza shida zao na kuwaelekeza wanapoweza kusaidiwa;
  3. Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
  4. Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
  5. Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;
  6. .Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
  7. Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;
  8. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; naix.Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (NTA Level 6) ya Uhazili (Secretarial Studies). Aidha, wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 (80.w.p.m) kwa dakika moja na kupata mafunzo ya programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

Remuneration

TGS C


Discover more from Ajira Tanzania| Nafasi za Kazi Tanzania| FG

Subscribe to get the latest posts sent to your email.